MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
RUWAZA: Kurahisisha Upataji Wa Huduma na Raslimali
DHAMIRA: Kuunda, kusimamia na kutunza barabara za Serikali Kuu za Kisekondari
MAADILI KUU
|
|
MWITO: Kuunganisha Magatuzi za Kenya
Na. |
HUDUMA |
YANAYOHITAJIKA/MAJUKUMU YA WASHIKA DAU |
ADA |
MUDA WA KUHUDUMIWA |
||
1. |
Kuhudumia Wateja |
Ungwana na uwazi |
Hailipishwi |
Ndani ya Dakika Kumi (10) |
||
2. |
lalamishi na Maswali |
1. Ukweli na Uadilifu 2. Kutumia njia rasmi ikijumuisha: · Kuja Kibinafsi · Kutumia Simu · Barua au Barua pepe · Sanduku za Maoni |
Hailipishwi |
Kututembelea Kibinafsi |
Dakika Kumi (10) |
|
Barua |
Siku 21 |
|||||
Barua pepe |
Siku Tatu (3) |
|||||
Ukaguzi wa Miradi |
Siku Kumi (10) |
|||||
Kazi za Dharura |
Masaa 48 (Haitazidi Siku 14) |
|||||
3. |
Ununuzi wa Bidhaa na Huduma |
1. Uhakikisho wa Kusajiliwa panapohitajika 2. Kununua stakabadhi zilizohitajika 3. Kufuata matakwa ya kikandarasi 4. Kupeana maoni ya ukweli na kwa wakati unaofaa 5. Kutii sharia na kanuni zote zinazohusika |
Kulingana na matangazo |
Kulingana na Sheria Rasmi ya Ununuzi wa Mwaka 2015 na Kanuni Zake Zote |
||
4. |
Upangaji wa Mikakakati ya Barabara |
1. Kushiriki kwa umma katika vikao maalum vya kutoa maoni 2. Ushirikiano 3. Maoni ya baadaye |
Ulipaji Ushuru |
Mipango ya Kimkakati |
Miaka Mitano (5) |
|
Mipango ya Kila Mwaka |
Miezi sita (6) kabla ya mwisho wa mwaka |
|||||
Miundo na Michoro ya Barabara |
Miezi Sita |
|||||
Ufuatiliaji na Tathmini |
Kila Miaka Miwili |
|||||
5. |
Ujenzi wa Barabara |
1. Kushiriki kwa umma katika vikao maalum vya kutoa maoni 2. Ushirikiano 3. Maoni ya baadaye |
Ulipaji Ushuru |
Kuundwa kwa Barabara Mpya |
Kulingana na Kandarasi |
|
Kazi za Kidharura |
Siku Sitini (60) |
|||||
Notisi za Umma |
Siku Tatu (3) |
|||||
6. |
Utunzi na Ukarabati wa Barabara |
1. Kushiriki kwa umma katika vikao maalum vya kutoa maoni 2. Ushirikiano 3. Maoni ya baadaye
|
Ulipaji Ushuru |
Mpangilio wa Kuunda Barabara Kila Mwaka |
Miezi sita (6) kabla ya mwisho wa mwaka |
|
Ukarabati wa Barabara |
Kulingana na Kandarasi |
|||||
Kazi za Kidesturi |
Kila Mwaka |
|||||
7. |
Ruhusa ya ujenzi kwa hifadhi ya barabara |
Siku Thelathini (30) |
||||
8. |
Malipo ya Bidhaa na Huduma |
Kutoa stakabadhi zinazohusika kama vile: · Fomu iliyo na taarifa ya Benki ( Fomu ya KeRRA BD 1)) · Agizo la Huduma au Ununuzi · Ankara/ invoisi · Vidokezo vya Uwasilishaji · Vyeti sahihi vya malipo yaliyosainiwa · Rekodi za upimaji |
Hailipishwi |
Kazi za Barabara |
Kulingana na Kandarasi |
|
Huduma za Ushauri wa Kiutalamu |
Kulingana na Kandarasi |
|||||
Bidhaa na Huduma zinginezo |
Siku Thelathini (30) |
|||||
9. |
Kuajiri |
1. Barua ya maombi 2. Mahitaji yanayolingana na Matangazo |
Hailipishwi |
Miezi Mitatu (3) |
||
10. |
Kazi Tarajali |
1. Barua rasmi kutoka shule yako 2. Barua ya Maombi 3. Wasifu wako 4. Jalada la Bima la Kuhusu Fidia |
Hailipishwi |
Miezi Mitatu (3) |
||
11. |
Kutoa Habari na Taarifa za Umma |
1. Ukweli na Uadilifu 2. Toa Malipo Ikiwa Yataitajika 3. Kutumia njia rasmi ikijumuisha: · Kuja Kibinafsi · Kutumia Simu · Barua au Barua pepe · Sanduku za Maoni |
Kulingana na Sheria ya Utoaji Habari na Taarifa kwa Umma |
Kututembelea Kibinafsi |
Dakika Kumi (10) |
|
Barua |
Siku 21 |
|||||
Barua pepe |
Siku Tatu (3) |
|||||
Ukaguzi wa Miradi |
Siku Kumi (10) |
|||||
Ombi la Dharura |
Masaa 48 (Haitazidi Siku 14) |
Tumejitolea kutoa huduma kwa heshima na ubora. Kwa Malalamiko, ombi au maoni kuhusu huduma na bidhaa zetu, piga ripoti kupitia;
MAHALI PETU PA OFISI:
Almashauri ya Barabara ya Mashinani,
Barabara Plaza-Block B, Barabara ya Aiport South Road
Ikipakana na Barabara ya Mombasa Road, Kenya.
ANWANI ZETU:
S. L. Posta 48151-00100 Nairobi, Kenya.
Simu: (20)7807600-605 AU +254 724735568
Anwani ya barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Tovuti Yetu: www.kerra.go.ke
AU
Tembelea Ofisi Zetu Zilizo Karibu Nawe Kote Nchini
TUME YA USIMAMIZI WA HAKI NA MALALAMISHI YA UMMA (CAJ):
S. L. Posta 20414-00200 Nairobi,Kenya.
Simu: +254(20)2270000/2303000/263765/8030666
Anwani ya barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Tovuti: www.ombudsman.go.ke
Anani ya Twitter: @kenyasombudsman na Facebook: Ombudsman Kenya